Wednesday, November 28, 2012

ZIARA YA PROVINCIAL TOKA INDIA ALIPOTEMBELEA MONTFORT SEC,SCHOOL RUJEWA-MBEYA

 KUTOKA KUSHOTO NI BRO.CHACKO,BRO.JAMES,BRO.ANSKAR NA PROVINCIAL
 PROVINCIAL AKIINGIA KTK UKUMBI WA AUDITORIUM

  BRO.CHACKO AKIZUNGUMZA NA WAALIMU NA WANAFUNZI
 MKUU WA SHULE ANSKARI AKITOA HISTORIA YA SHULE
 WANAFUNZI WAKIANGALIA BURUDANI ZILIZOFANYIKA UKUMBINI
 MWALIMU ANUALITY ALIMKABIDHI MGENI ZAWADI KWA NIABA YA STAFF
 PROVINCIAL BALA SHORY TOKA ALIPOKUWA ANAZUNGUMZA NA WANAFUNZI

WAALIMU WAKIMSIKILIZA PROVINCIAL