KUTOKA KUSHOTO NI BRO.CHACKO,BRO.JAMES,BRO.ANSKAR NA PROVINCIAL
PROVINCIAL AKIINGIA KTK UKUMBI WA AUDITORIUM
BRO.CHACKO AKIZUNGUMZA NA WAALIMU NA WANAFUNZI
MKUU WA SHULE ANSKARI AKITOA HISTORIA YA SHULE
WANAFUNZI WAKIANGALIA BURUDANI ZILIZOFANYIKA UKUMBINI
MWALIMU ANUALITY ALIMKABIDHI MGENI ZAWADI KWA NIABA YA STAFF
PROVINCIAL BALA SHORY TOKA ALIPOKUWA ANAZUNGUMZA NA WANAFUNZI
WAALIMU WAKIMSIKILIZA PROVINCIAL