Tuesday, March 12, 2013

MAANDALIZI YA SHEREHE YA SILVER JUBILEE



         MONTFORT AGRICULTURAL SECONDARY SCHOOL NI SHULE INAYOFANYA VIZURI KITAALUMA,SASA INATANGAZA NAFASI ZA PRE-FORM FIVE KUANZIA TAREHE 2 APRIL HADI TAREHE 31 MAY  MWAKA HUU,PIA INATANGAZA NAFASI ZA KIDATO CHA TANO ZITAKAZOANZA  TAREHE 8 JULY 2013 KWA MICHEPUO YA HGL,HGK,HKL,HE,CBG,CBA,ABE,EGM,NA ACG,WALIO RESEAT KUANZIA MWAKA 2010 WANARUHUSIWA KUJIUNGA NA MASOMO,SHULE INA NAFASI ZA BWENI KWA WAVULANA NA WASICHANA,MWOMBAJI AWE NA ‘C’ TATU KWA MASOMO YOYOTE NA ASIWE NA F KWENYE MCHEPUO YAANI COMBINATION.
             FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA SHULENI OFISI YA MKUU WA SHULE KWA TSHS.7000/= TU,NA ADA ZETU NI NAFUU.
SHULE YA MONTFORT SECONDARY IPO RUJEWA,KIJIJI CHA MWAKAGANGA WILAYANI MBARALI,KWA MAWASILIANO FIKA SHULENI AU PIGA SIMU NAMBA 0752675339 AU 0713216336,email montfortsecondary@gmail.com , blog;- www. montfort-secondary.blogspot.com
           KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 50 YA BRO. CHACKO TANGU KUANZA KULITUMIKIA SHIRIKA LA MT. LOUIS DE MONTFORT  NA MIAKA 25 TANGU KUANZISHWA KWA SHULE YETU,IMEANDAA KALENDA,TSHIRT, N.K. KWA BEI NAFUU KABISA KARIBUNI NYOTE.