|
MASHINDANO YA KUADHIMISHA MIAKA 300 TANGU KUANZISHWA KWA
SHIRIKA LA MONTFORT NA MIAKA 25 YA DISTRICT SUPERIOR
TANGIA AWE BROTHER. MASHINDANO HAYA YALISHIRIKISHA TIMU ZOTE
ZA MT. MONTFORT AFRIKA MASHARIKI. PIA KULIKUWA NA IBADA YA
MISA TAKATIFU SIKU YA TAR. 30.05.2016. NA MONTFORT RUJEWA
KUIBUKA MSHINDI WA JUMLA. |
MONTFORT PRIMARY FOOTBALL TEAM-MOROGORO
LOUIS MONTFORT SEC, DAR-FOOTBALL
MWEMBENI SEC, FOOTBALL TEAM
DAR VS MWEMBENI MUSOMA-FOOTBALL (SECONDARY)
|
MONTFORT SEC, RUJEWA FOOTBALL TEAM |
MONTFORT DAR PRIMARY AKICHEZA NGOMA YA MGANDA KWA USTADI