Tuesday, May 3, 2016

MASHINDANO YA KUADHIMISHA MIAKA 300 TANGU KUANZISHWA KWA
SHIRIKA LA MONTFORT NA MIAKA 25 YA DISTRICT SUPERIOR
TANGIA AWE BROTHER. MASHINDANO HAYA YALISHIRIKISHA TIMU ZOTE
ZA MT. MONTFORT AFRIKA MASHARIKI. PIA KULIKUWA NA IBADA YA
MISA TAKATIFU SIKU YA TAR. 30.05.2016. NA MONTFORT RUJEWA
 KUIBUKA MSHINDI WA JUMLA.
                  MONTFORT PRIMARY FOOTBALL TEAM-MOROGORO
                              LOUIS MONTFORT SEC, DAR-FOOTBALL
                                    MWEMBENI SEC, FOOTBALL TEAM
              DAR VS MWEMBENI MUSOMA-FOOTBALL (SECONDARY)
MONTFORT SEC, RUJEWA FOOTBALL TEAM MONTFORT DAR PRIMARY AKICHEZA NGOMA YA MGANDA KWA USTADI

Wednesday, October 23, 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE - 2013

HONGERENI WOTE
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS

S0561 MONTFORT SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 18 DIV-III = 31 DIV-IV = 8 DIV-0 = 0
                               WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE KWA PAMOJA


WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU
                                       
WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU JUKWAANI

WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU

WAALIMU

WANAFUNZI WA KIDATO CHAKWANZA WAKIWAAGA WENZAO KWA WIMBO

WAHITIMU

BAADHI YA WAHITIMU

KULIA NI MKUU WA SHULE BR. N.F. JOSEPH NA BRO. JAMES

MWL. LWITIKO AKIPOKEA ZAWADI TOKA KWA MGENI RASMI

MWL. NICAS AKIPOKEA ZAWADI TOKA KWA MGENI RASMI

LULU CHENGULA MHITIMU AKIPOKEA CHETI

RAHMA FIKIRINI MHITIMU AKIPOKEA CHETI


Monday, October 14, 2013

 BAADHI YA WALIMU NA WANAFUNZI WAKICHANGIA DAMU SALAMA,IKIWA NI KAMPENI YA KUOKOA MAISHA YA WATU WENYE UPUNGUFU WA DAMU,UNANGOJA NINI CHANGIA SASA NA WEWE UOKOE MAISHA YA NDUGU ZETU WENYE UHITAJI WA DAMU.